Simba Muda Wowote Watatangaza Majina Haya Kabla Dirisha Halijafungwa

Klabu ya Simba muda wowote kuanzia sasa majina haya mawili yatatangazwa kama usajili mpya klabuni hapo kabla ya dirisha dogo kufungwa kesho saa 5:59 usiku. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Viongozi wa Simba wanahitaji mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa kama jinsi anavyopendekeza kocha mkuu wa timu hiyo Robertinho, na kamati ya usajili ilitua mpaka nchini DR Congo na kuwataka nyota Jean Marc Makusu Mundele ambaye ni mchezaji huru baada ya kuachwa na FC Lupopo Januari 7 mwaka huu na Jean Baleke mchezaji wa TP Mazembe anayekipiga kwa mkopo Nejma SC ya Falme za Kiarabu.

 

simba sc

Kwa Taarifa tulizo nazo Meridianbet Sports kutoka kwenye chanzo chetu cha uhakika ni kwamba usajili wa Jean Baleke umekamilika kwa asilimia 100 na muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa klabuni hapo.

Inaelezwa Simba imekuwa ikihitaji kumnunua Baleke kutokea TP Mazembe ila tajiri wa timu hiyo, Moise Katumbi amegoma na kuwaeleza yupo tayari kuwapatia kwa mkopo si moja kwa moja. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Kulikuwa na mvutano Simba ilihitaji kumchukua moja kwa moja kwani inaogopa Baleke anaweza kufanya vizuri akarudi TP Mazembe na ikapata kazi ya kutafuta straika mwingine kwa wakati huo.

 

simba
Jean-Baleke

Jina la pili ni Jean Makusu aliyepo kwenye timu ya taifa ya DR Congo ya wachezaji wa ndani CHAN, ambapo Viongozi wa Simba walimtumia mkataba Makusu ili asaini na kisha baadae ataurudisha kwa njia ya mtaondo ili uweze kuonekana kwenye mfumo na kutambulika kama mchezaji mpya wa Simba baada ya mashindano ya CHAN kukamilika mwanzoni mwa mwezi ujao. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Acha ujumbe