SIMBA BADO WANAPATA TABU

NAMUNGO walikomba pointi moja mbele ya Simba kwa sare ya kufungana mabao 2-2 mchezo wa mzunguko wa pili, Uwanja wa Majaliwa Jana usiku.

Licha ya Simba kuanza kufunga kila kipindi walikwama kulinda ushindi huo mpaka dakika ya 90 huku nafasi walizotengeneza wakikwama kuzitumia ikiwa ni pamoja na ile ya Fabrice Ngoma dakika ya 90.SIMBAWilly Onana alifunga pazia la kufunga dakika ya 33 kwa upande wa Simba kisha Sabato Kelvin aliweka nyavuni bao dakika ya 39.
Edwin Balua alifunga kwa pigo huru dakika ya 70 na Kennedy Juma alijifunga dakika ya 90 katika mchezo huo wakigawana pointi mojamoja.

Acha ujumbe