Simba Kibaruani Leo Hii Dhidi ya Jamhuri

Mapinduzi Cup inatarajiwa kuendelea hii leo kwa michezo miwili ya robo fainali ambapo mchezo wa kuvutia utakuwa ni ule utakaopigwa saa 2:15 ambao utawakutanisha kati ya Simba dhidi ya Jumhuri.

 

Simba Kibaruani Leo Hii Dhidi ya Jamhuri

Simba ya Benchika wanatarajia kufanya vizuri baada ya kuonekana wakifanya mazoezi ya hali juu ya kuukabili mchezo  huu ambao utakuwa unatolewa macho sana, huku kwa upande wa Jamhuri nao wamesema wamejiandaa vyema kumkabili Mnyama.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Msimu uliopita, Wekundu wa Msimbazi alishindwa kuchukua kombe hili na likabakia Zanzibar hivyo msimu huu timu za Bara nazo zinahitaji kuondoka na Kombe hilo na kurudi nalo nyumbani siku ya mwisho.

Simba Kibaruani Leo Hii Dhidi ya Jamhuri

Jamhuri ameingia hatua hii ya Robo Fainali baada ya kushinda mechi moja na kupoteza mechi yake ya kwanza dhidi ya Young Africans, huku Mnyama yeye akishinda micheoz miwili na kutoa sare moja.

Je leo hii nani ataibuka na ushindi katika dimba la New Amaan Complex? Je ni Benchika na vijana wake au Jamhuri?

Acha ujumbe