SIMBA KUONDOKA KWA MAFUNGU KWENDA MISRI

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amesema kuwa wanatarajia kusafiri Kwa mafungufungu Misri kwenye Pre-Season kwenye safari ambayo wanaianza leo.

SIMBA KUONDOKA KWA MAFUNGU KWENDA MISRI

Ahmed amesema hiyo inatokana na baadhi ya wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi la Simba kuchelewa kupata Visa lakini hadi kufikia tarehe 11 wachezaji Wote watakuwa kambini Misri.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

“Tunaondoka Kwa Makundi mawili au matatu kwenda Misri, wapo wachezaji na viongozi tutaondoka nao leo na wengine kesho na hadi kufikia tarehe 11 wachezaji Wote watakuwa kambini Misri,” alisema.

SIMBA KUONDOKA KWA MAFUNGU KWENDA MISRI

Ahmed alisema kuwa hata golikipa wao Ayoub Lakred ataondokea kwao Algeria na kwenda Misri kuungana na wenzake.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Acha ujumbe