Ligi kuu ya NBC Tanzania inatarajiwa kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa kukata na shoka utakuwa ni kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate katika dimba la Liti.
Simba ameshinda mechi zake zote mpaka sasa kwenye ligi akikusanya pointi 12 kwenye michezo yake minne aliyocheza akishika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Huku kwa upande wa Singida FG wao wapo nafasi ya 9 kwenye michezo yake minne aliyocheza akishinda mechi moja pekee, sare mbili na kipigo mara moja hadi sasa akiwa na pointi zake 5 tuu.
Vijana wa Robertinho wametoka kushinda mchezo wao uliopita wa ligi, huku Walima Alizeti wao wakitoka kushinda pia hivyo zinakutana timu mbili ambazo zinataka kuendeleza ushindi.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
Mara ya mwisho kukutan timu hizi mbili, Mnyama aliondoka na pointi tatu zote. Je leo ni siku ya mwenyeji kulipa kisasi katika dimba la Liti huku Singida?