Simba na Yanga: Droo ya hatua ya 32 mbili bora imechezeshwa leo na hivyo kupelekea kila timu kumjua mpinzani wake atakayekutana nae kwenye hatua hiyo. Simba na Yanga zimepangwa na wababe hawa: Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

simba

Klabu ya Simba iliyopo kwenye kambi fupi Dubai imepangwa kukutana na Coastal Union ya Tanga ambao msimu uliopita walifika fainali ya kombe la Shirikisho la Azam na kufungwa na Yanga.

Na Yanga SC wao watacheza na Rhino Rangers ya Mjini Tabora, huku Azam FC wakitarajia kukutana na Dodoma Jiji. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

 

Yanga

Mechi zingine ni Singida vs Ruvu Shooting, Mtibwa vs Buhaya FC.

Michezo ya hatua ya 32 bora inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Machi 3-5 mwaka 2023, ikiwa ni kutafuta kufuzu hatua ya 16 bora. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa