Simba na Yanga Kupigwa Novemba 05

Hatimaye ile siku ya wapenzi wa soka Tanzania na Afrika kwa ujumla imejulikana hii leo baada ya Bodi ya Ligi Tanzania kutangaza ratiba ya Ligi kuu ya NBC msimu huu mpya wa 2023/2024 ambapo Simba na Yanga kumenyana Novemba 05.

 

Simba na Yanga Kupigwa Novemba 05

Tambo zilikuwa nyingi sana kwenye dirisha la usajili huku kila timu ikitamba kuwa wao ndio wamefanya usajili bora zaidi kuliko mwingine, huku Simba wao wakiwaleta nyota mbalimbali kutoka timu kubwa halikadhalika kwa Yanga.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa

Yanga ambao ndio mabingwa watetezi wa Ligi kuu msimu uliopita wamewasajili wachezaji kama Gift Fred, Makudubela, Mkude, Nzengeli na wengine kibao huku Mnyama akiwaleta Fabrice Ngoma, Luis, Kramo na wengine kibao.

Simba na Yanga Kupigwa Novemba 05

Kutokana na kuwa vilabu hivi kuwa vimeliteka soka la Tanzania mashabiki wengi walikuwa wakisubiri lini timu hizi zitamenyana kuwania pointi tatu muhimu na Kariakoo Derby itapigwa Novemba 05.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Simba walimaliza nafasi ya pili mara mbili mfululizo mbele ya watani wao na sasa msimu huu wanasema kuwa wanataka kurejesha mataji yote ambayo wameyapoteza mbele ya Young Africans.

 

 

 

Acha ujumbe