SIMBA WALIMALIZANA NA MPANZU, ASAINI MIWILI

Winga raia wa DR Congo Ellie Mpanzu rasmi amemalizana na Simba kwa kusaini dili la miaka miwili kuitumikia timu hiyo ambayo inanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.

SIMBA WALIMALIZANA NA MPANZU, ASAINI MIWILI

Ikumbukwe kwamba Septemba 22 Mpanzu alikuwa Uwanja wa Mkapa kushuhudia timu hiyo ikicheza mchezo wa raundi ya pili Kombe la Shirikisho kusaka mshindi wa kutinga hatua ya makundi na jambo hilo lilifanikiwa ubao uliposoma Simba 3-1 Al Ahli Tripoli ya Libya.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

SIMBA WALIMALIZANA NA MPANZU, ASAINI MIWILI

Simba walikuwa wanaiwinda saini ya Mpanzu ambapo walikuwa wanatajwa kumalizana naye kwenye dili la awali ila mambo yalibadilika nyota huyo akapata timu Ulaya mipango ilivyokwama huko akarejea DR Congo na kufufua mazungumzo yake na Mnyama hatimaye dili lake limekamilika.

Atakuwa ndani ya Msimbazi kwa msimu wa 2024/25 dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa kwa kuwa hakuwa kwenye mpango wa mechi za awali msimu wa 2024/25 ambao una ushindani mkubwa.

Acha ujumbe