Mabosi Simba Wamleta Cesar Manzok kwa Mkapa

Bado haijaisha mpaka iishe ni kauli ambayo unaweza kuisema, ni baada ya kelele za muda mrefu kusikika kila kona kuhusu aliyekuwa mchezaji wa Vipers United ya Uganda Cesar Lobi Manzok kuhusishwa na Simba bado mambo hayajaisha. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

 

manzok

Hiyo ni baada ya jana kuonekana kwa mchezaji huyo katika uwanja wa Mkapa kwenye mechi ya Simba dhidi ya Coastal Union wa hatua ya 32 bora uliomalizika kwa Simba kushinda bao 1-0

Ushindi huo wa Simba unawafanya kusonga mbele mpaka hatua ya 16 bora, na hivyo kuzisubiri timu zingine zitakazo cheza leo ikiwemo watani zao Yanga wanaokipiga na Rhino Rangers kutokea mkoani Tabora. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

 

manzok

Manzok inasemekana wiki hii alifika nchini Tanzania usiku na kufikia kwenye hoteli moja jijini hapa kufanya mazungumzo ya kimkataba na uongozi wa Simba kwa mujibu wa Mwanaspoti, na hatimaye jana akaenda uwanjani kuwatazama wenzake.

Baada ya dirisha dogo kufungwa tarehe 15 Januari 2023 kwa kutambulishwa wachezaji watatu ambao ni Saido Ntibazonkiza, Ismael Sawadogo na Jean Baleke, mashabiki na wapenzi wa timu hiyo ni kama walikata tamaa za kumnasa mchezaji huyo waliyekuwa wakimsubiri kwa hamu kubwa lakini sasa mazungumzo yanafanyika na huenda Manzok akajiunga na Mnyama kwenye dirisha kubwa la usajili kwenye miezi 5 ijayo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Acha ujumbe