BREAKING NEWS: Simba Yamuacha Luis Miquissone.

UONGOZI wa Simba umefikia hatua ya kutangaza kuachana na nyota wake Luis Miquissone baada ya kushindwa kukubaliana suala la kumuongeza Mkataba. Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Miquissone alikuwa na mkataba wa miaka 2 Simba ambao aliusaini mwaka jana 2023, lakini baada ya kushindwa kuonesha makali kwenye msimu huu Simba imeamua kumuacha.

Katika mkataba wake alioutumikia kwa mwaka mmoja tu, ulikuwa na kipngele cha kuwaruhusu kumvunjia mkataba endapo atashindwa kuonesha kiwango kizuri.

Miquissone ni moja ya wachezaji wachche wa kigeni waliokuwa wanalipwa vizuri kwa klabu ya Simba, na ndiye alikuwa anaongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko mchezaji yeyoye yule.

Mshahara wa Miquissone kwa mwezi ulikuwa unafika Tsh Milion 47, huku akiwa na bonasi za kila mechi, bonasi ya goli au ya kutoa pasi ya goli. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Baada ya kuachwa na Simba na kujiunga na miamba ya Afrika, Al Ahly Miquissone hakuonesha makali, na klabu hiyo ilimtoa kwa mkopo, baadae akakaa karibia msimu mzima bila kucheza mechi za mashindano.

Simba ilimrudisha mchezaji uyo, huku akiwa na uzito mkubwa, alipewa programu maalum ya kupunguza uzito wake lakini hakuwa na kiwango kizuri. Kuanzia kwa kocha Robertinho, Benchika na hata kwa Mgunda.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Acha ujumbe