SINGIDA HAWAELEWEKI LIGI KUU

SINGIDA Fountain Gate imegawana pointi mojamoja na KMC kàtika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Desemba 11.

Ni Uwanja wa Black Rhino mchezo huo umechezwa kwa timu zote kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.SINGIDABaada ya dakika 90 ubao umesoma Singida Fountain Gate 0-0 KMC.

Ngoma imekuwa nzito kwa pande zote mbili kufanikisha malengo ya kukomba pointi tatu na kugawana pointi mojamoja.

Ikumbukwe kwamba KMC mchezo wake uliopita ugenini ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Azam FC 5-0 KMC.

Acha ujumbe