Tabora United Kuzichapa Dhidi ya Dodoma Jiji

Mechi ya mapema ya ligi kuu ya NBC leo hii ni kati ya Tabora United dhidi ya Dodoma Jiji itakayopigwa majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.

 

Tabora United Kuzichapa Dhidi ya Dodoma Jiji

Tabora United imepanda ligi kuu msimu huu huku mpaka sasa ikiwa imeshacheza michezo yake minne ikishinda mchezo mmoja pekee huku ikitoa sare mbili na kupoteza mmoja ikiwa na pointi zake 5.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Wakati kwa upande wa Dodoma Jiji yeye yupo nafasi ya 9 akiwa naye amecheza michezo minne akishinda mechi moja, sare mbili na kupoteza mchezo mmoja hadi sasa kwenye ligi.

Tabora United Kuzichapa Dhidi ya Dodoma Jiji

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Timu hizi hazijawahi kukutana kwenye ligi kwani moja imepanda ligi kuu msimu huu huku nyingine ikipanda msimu wa 2019. Hivyo litaenda kushuhudiwa pira la kuwania pointi 3 muhimu kwa kila timu.

 

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.