Leo hii Novemba 21 Taifa la Tanzania litakuwa kwenye kibarua kizito kuikabili Morocco kwenye mechi yao ya pili ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambapo mechi hiyo itapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.

 

Tanzania Mzigoni Leo Hii Dhidi ya Morocco

Mechi hiyo itapigwa saa 4:00 usiku na Tanzania wanahitaji ushindi huo nyumbani baada ya kuanza vyema kwenye mechi yao ya kwanza dhidi ya Niger kwenye mchezo ambao ulifanyika kule Morocco.


Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Kwenye kundi hilo E, ni Morocco peke yake ambaye hajacheza mechi mpaka sasa ambapo mechi yake ya leo anahitaji pointi 3 muhimu kwenye kundi lenye jumla ya timu tano.

Tanzania Mzigoni Leo Hii Dhidi ya Morocco

Ikimbukwe kuwa timu ya Morocco ndio timu bora Afrika kutokana na mafanikio mabayo ameyapata Kombe la Dunia 2022 lililofanyika Qatar ambapo timu hiyo ilishinda mshindi wa 4.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Je leo hii Tanzania inaweza kuizuia timu hiyo kupata ushindi katika Dimba la Benjamin Mkapa?


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa