Tanzania Prisons wanatarajia kuialika Kagera Sugar ya Mecky Mexime nyumbani kwake kwaajili ya mchezo wao wa Ligi majira ya saa 8:00 mchana katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

 

Tanzania Prisons Kujiuliza Dhidi ya Kagera Sugar

Tanzania Prisons imetoka kupoteza mchezo uliopita baada ya kucheza michezo 12, wameshinda mara tatu pekee, wameenda sare mara tano na wamepoteza michezo minne huku wakijikusanyia pointi 14 kibindoni.

Wakati kwa Wanankurukumbi wao wapo nafasi ya 12 baada ya kushinda mechi tatu, sare tatu na kupoteza mechi sita huku wakiwa wamecheza michezo 12 katika ligi lakini bado mambo magumu.

Tanzania Prisons Kujiuliza Dhidi ya Kagera Sugar

Mara ya mwisho kukutana Tanzania Prisons na  Kagera, Kagera aliondoka kifua mbele baada ya kujishindia mchezo huo na kuondoka na alama tatu muhimu. Je hii leo Mexime na vijana wake watafanya nini mbele ya Wajela jela?

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Tanzania Prisons, Tanzania Prisons Kujiuliza Dhidi ya Kagera Sugar, Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa