Mechi nyingine itakuwa pale katika dimba la Sokoine jijini Mbeya ambapo Tanzania Prisons atazichapa dhidi ya Mtibwa Sugar majira ya saa 10:00.
Tanzania Prisons wametoka kupoteza mchezo wao wa ligi uliopita wakiwa nyumbani huku Mtibwa wao wakipoteza pia mchezo wao uliopita huku wakiwa na pointi mbili pekee kwenye michezo minne waliyocheza.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Prisons ndio vibonde wa ligi mpaka sasa wakiwa na pointi moja pekee, yani wametoa sare moja na kupokea vichapo vitatu kwenye ligi mfululizo hivyo kitu pekee anachohitaji mwenyeji ni ushindi pekee.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee huku mara ya mwisho kukutana, ni msimu uliopita ambapo kwenye mechi zote mbili hakuna mabaye alikuwa mbabe yani wlaittoka suluhu wakienda bila bila mechi zote mbili.