Tanzania Prisons Uso kwa Uso Dhidi ya Coastal Union

Tanzania Prisons anamkaribisha Coastal Union nyumbani kwake katika uwanja wa Sokoine kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya timu zote kutoshana nguvu kwenye michezo yao iliyopita.

 

Tanzania Prisons Uso kwa Uso Dhidi ya Coastal Union

Tanzania Prisons wapo nafasi ya 8 baada ya kucheza michezo 10 kwenye Ligi, huku wakiwa wameshinda mechi tatu, sare tano na wamepoteza michezo miwili, pia wamejikusanyia pointi 14 mpaka sasa.

Wakati kwa Upande wa Wagosi wa Kaya, Coastal wao bado hali ni mbaya kwani wapo nafasi ya 13, baada ya michezo 7, ushindi mara mbili, sare mbili lakini na kupoteza mara tatu, wana pointi 8 kibindoni.

Tanzania Prisons Uso kwa Uso Dhidi ya Coastal Union

Mechi tano za mwisho kukutana hizi timu mbili kila mtu ameshinda mechi moja moja na wametoa sare michezo mitatu.


AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

Acha ujumbe