TFF Yazipia Saluti Simba na Yanga Kimataifa

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF Wilfried Kidao amezipongeza vilabu vya Simba SC na Yanga SC baada ya kufuzu hatua ya Robo Fainali michuano ya CAF akisema hiyo inaashiria ubora wa Ligi Kuu ya NBC. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

simba

“Makundi yalikuwa na ushindani mkubwa na vigogo kadhaa wameangukia pua, lakini Simba, Yanga zimevuka, ni jambo kubwa.

“Kwangu inaonesha zaidi ni kukua kwa mpira wa Tanzania, hususani ligi yetu inaonesha jinsi gani watu wamekuwa wakiiweka kwenye viwango vikubwa barani Afrika na unaona kabisa matokeo haya yanaakisi kile ambacho kimekuwa kikiwekezwa kwenye Ligi yetu” -Kidao.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Klabu ya Simba imefuzu kwa mara nyingine tena kutinga hatua ya robo fainali baada ya kufikisha alama 9 na kuwa nafasi ya pili ya kundi lao, kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

 

 

yanga

Kwa upande wa watani zao Yanga nao wamefuzu hatua hiyo ya kombe la shirikisho Afrika tena wakiongoza kundi lao huku wakiwa na mchezo mmoja wa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo utakaochezwa mwezi wa Aprili.

Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe