Vikosi Vya Simba na Yanga Leo

Mchezo wa Yanga Vs Simba unakaribia kuazna huku vikosi vya timu zote vikiwa vimeshatoka.

Kwa upande wa wenyeji wa mchezo Yanga golini ataanza 39 Diarra, 21 Djuma Shabani, 15 Kibwana Shomari, 4 Yannick Bangala, 5 Dickson Job, 8 Khaleed Aucho, 6 Feisal Salum, 12 Moloko Jesus, 9 Fiston Kalala Mayele, 10 Stephen Aziz KI, 29 Tuisila Kisinda.

 

Vikosi Vya Simba na Yanga Leo

 

Wachezaji wa Akiba ni Mshery, Bakari Mwamnyeto, Bacca, Bigirimana, Mauya, Farid, Ambundo, Nkane, Makambo.

Aidha kwa Upande wa Simba mlinda mlango ni 28 Aish Manula, 5 Israel Mwenda, 15 Mohammed Hussein, 16 Joash Onyango, 29 Henock Inonga, 20 Jonas Mkude, 10 Pape Ousman Sakho, 19 Mzamiru Yassin, 25 Moses Phiri, 17 Clatous Chama, 27 Augustine Okrah

Wachezaji wa akiba ni Beno Kakolanya, Erasto Nyoni, Gadiel Michael, Kennedy Juma, Nasor Kapama, Peter Banda, John Bocco, Habib Kyombo, Kibu Denis

 

Vikosi Vya Simba na Yanga Leo

Msimu wa ulioisha wa 2021/2022 timu hizi hazikuweza kufungana kwenye mechi zote mbili. unadhani leo nani atakuwa mshindi. Bashiri na Meridianbet ambapo Odds kubwa zimetolewa kwenye mechi hii.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.