Viongozi wa Simba Waibukia Kambini, Waanza na Wachezaji

Baada ya klabu ya Simba kuwa katika msukosuko na msuguano wa ndani kwa ndani wa viongozi, wachezaji pamoja na benchi la ufundi, hali iliyopelekea timu hiyo kushuka kiwango kwa mechi za hivi karibuni.

 

Viongozi wa Simba Waibukia Kambini, Waanza na Wachezaji

Mechi ya kwanza ya hatua ya makundi Mnyama alicheza na Asec Mimos siku ya Jumamosi akiwa katika dimba la Benjamin Mkapa ambapo Mnyama alishuhudia sare ya 1-1.

Cheza Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Hivyo mwendelezo wa matokeo hayo umewafanya mashabiki kwa kiasi kikubwa kupoteza matumaini na klabu hiyo huku wakishinikiza kuwa viongozi wajiuzulu.

Viongozi wa Simba Waibukia Kambini, Waanza na Wachezaji

Kufuatia malalamiko hayo, viongozi wa timu hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Salim Abdalla (Try Again), Murtanza Mangungu Mwenyekiti wa Simba, pamoja na Wajumbe wa Bodi wamefanya kikao pamoja na wachezaji ili kufahamu changamoto ya timu ni ipi wakianza kwa upande wa wachezaji.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Chanzo cha kuaminika kutoka Wekundu wa Msimbazi kimesema kwamba, kikao hicho kimazimia kufanya maboresho makubwa kwenye timu hiyo kufikia Januari, huku wachezaji wakipewa masharti ya kufuzu hatua ya robo fainali Ligi ya mabingwa.

Viongozi wa Simba Waibukia Kambini, Waanza na Wachezaji

Baadhi ya wachezaji wa Simba, aikiwemo Cloutus Chama, nahodha msaidizi Mohamed Hussein, pamoja na Mosses Phiri wamezungumza na kuwataka mashabiki wawe na utulivu na waendelee kuiamini timu yao wakiahidi kurejea vizuri kama kaulimbiu yao inavyosema “Simba Nguvu Moja”.

Je kwa mwenendo huo walionao vijana wa Msimbazi wanaweza kufika hatua gani kwenye michuano hii ya CAFCL?

Acha ujumbe