Wachezaji sita wa klabu ya Geita Gold Wadaiwa kujiweka pembeni ndani ya klabu ya Geita Gold ya mkoani Shinyanga huku hela yatajwa kwamba ndio chanzo kikubwa cha wachezaji hao kujiweka pembeni.wachezajiWachezaji hao ambao kwasasa inaelezwa hawapo kambini wakiungana na mfungaji bora wa msimu uliopita katika NBC premier league George Mpole ambaye nae haonekani ndani ya klabu hiyo.

George mpole,Oscar Masai, Saidoo Ntibazonkiza,Ramadhan Chombo Redondo, Hussein Bakari pamoja na Sebsebu na hawa ndo wachezaji sita ambao wanadaiwa kuisusia timu mpaka sasa hawaonekani kambini.wachezajiHii si mara ya kwanza kwa wachezaji wa vilabu vya hapa Tanzania kugomea kuzitumikia timu zao kutokana na madai ya stahiki zao, Na kutokana na hali hii inaendelea kuharibu taswira ya mpira wa miguu Tanzania.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa