AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa Wanasimba wasikubali kukaa nyumbani Agosti 31 2024 timu hiyo itakapokuwa ikicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Jisajili na Meridianbet kwa urahisi wa kubeti kwa odds kubwa.
Leo timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids inatarajiwa kutupa kete hiyo ya kimataifa saa 10:00 jioni.
Ally amebainisha kuwa ni mchezo mzuri utakaowapa furaha mashabiki wa Simba kwa kuwa wachezaji wanapenda kutimiza majukumu yao wakiwa uwanjani.
Ukiwa Mwanafamilia wa Meridianbet hutojutia pesa zako, PIGA Bure *149*10# kubeti popote wakati wowote.
“Wanasimba ni mchezo wetu wa kimataifa hivyo usikubali kukaa nyumbani njoo uishuhudie Simba ya ubaya ubwela na inaongeza pumzi ya moto hii sio ya kukosa kwa kweli kwa kuna kitu kimeongezeka.
“Usifikiri kwa kuwa uliiona Simba ikicheza na Fountain Gate mchezo wake uliopita ukadhani umemaliza hapana kuna kazi kubwa inakwenda kufanyika na wachezaji wapo tayari mashabiki mjitokeze kwa wingi mpate burudani.”
Miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye kikosi cha Simba kwa sasa ni Kibu Dennis, Awesu Awesu, Hussen Abel, Aishi Manula.
Michezo ya Kasino ya mtandaoni inakufanya ubadili maisha yako, kwa dau dogo tu unaweza kuibuka mshindi wa Mamilioni.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.