Klabu ya Yanga ya nchini Tanzania ni kama sasa inaishi kwenye dunia yao pekee kwenye ulimwengu wa soka, kwani mpaka sasa imeandika rekodi mpya ya kucheza mechi mfululizo 49 za Ligi Kuu bila kupoteza.

Hii ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na klabu nyingine yoyote kwenye historia ya soka katika Tanzania na hata Ligi kuu ya Uingereza, lakini imewahi kuwekwa na kupitwa na vilabu kama Asec Mimosas, Esparance, na Al hly ya Misri.
Rekodi kama hii imewahi kuwekwa na Klabu ya Arsenal katika msimu wa 2003/04. Rekodi ambayo inabaki kwenye kumbukumbu za mashabiki wa soka ulimwenguni haswa wale wa Ligi Kuu ya England (EPL)

Hii imekuja baada ya Jumamosi kuitawanyisha Mbeya City kwa mabao 2-0 katika mchezo uliopopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Mara ya mwisho kwa Yanga kupoteza mechi kabla ya kuandika rekodi hii ni Aprili 25, mwaka jana ilipolala kwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC.
Siku ya leo kwenye mchezo wao wa ugenini dhidi ya Ihefu, mashabiki wa Yanga wanasubiri kuona timu yao inaandika rekodi mpya ya kuwa klabu ya kwanza kucheza michezo 50 ya Ligi kuu bila kupoteza.
Beti mechi hii na zijazo za kombe la dunia na nyingine kupitia Meridianbet, beti na kitochi bila bando, kwenye machaguo spesho ya kombe la dunia yenye ODDS kubwa na bomba, na kama sio mpenzi wa mpira kuna michezo ya kasino mtandaoni napo unaweza kushinda jakipoti kubwa. Beti hapa.
Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.


