Mwanasheria Yanga Afafanua Inshu ya Feisal

feisal

Mwanasheria wa klabu ya Yanga Simon Patrick, ametolea ufafanuzi suala la kimkataba na mchezaji wao Feisal Salum Fei Toto, ambaye shauri lake lilisikilizwa mara 2 na TFF na Mamlaka husika ziliamua kuwa mchezaji huyo bado mali ya Yanga. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Patrick aliandika hivi “Kwa ridhaa ya Wananchi, Mabingwa wa muda wote naombeni kuongelea kwa mara ya mwisho sakata la mdogo wetu na kilichotokea jana; Mwanetu kwa mara nyingine tena aliandika barua ya kutaka kuvunja mkataba akaipeleka TFF akiwataka wajunje mkataba.

“Tulivoitwa mbele ya chombo cha TFF chenye hadhi ya kimahakama (Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji) Yanga tuliweka mapingamizi manne; Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

1. Tunaamini Kamati imeshasikiliza na kutoa maamuzi ya suala hili linalohusu uvunjifu wa mkataba “Contract termination” kwenye maamuzi ya kwanza na ya review, hivo shauri hili la leo ni “res judicata“.

2. Kwakuwa suala hili limeshasikilizwa na kutolewa maamuzi hapo awali, hivo mikono ya kamati imeshafungwa na sheria “functus officio”.

3. Kwa kuwa mikono ya kamati imeshafungwa na sheria kusikiliza tena hili suala, kamati haina tena mamlaka ya kusikiliza hili suala “Jurisdiction”.

4. Pia mkataba unaotaka kuvunjwa wahusika ni Yanga na Feisal, ndio wanauwezo wa kuvunja mkataba, TFF sio wahusika wa mkataba huo hivo hawana uwezo wa kisheria kuvunja mkataba wakati wahusika hawajakaa kutaka kuvunja mkataba na kushindwana “Privy to contract”.

“Hoja hujibiwa kwa hoja, mambo ya sijui mimi namuwakilisha Drogba, sijui nani hayatuhusu, hata kama ungekuwa unamuwakilisha Messi na Ronaldo, dakika 10 ni nyingi sana kujibu hoja.

Mwisho; Feisal ni ndugu yetu, anakaribishwa muda wowote kuja Yanga kuleta maombi ya kuvunja mkataba na atapewa baraka zote na huu ndio msimamo rasmi wa Yanga.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.