Klabu ya soka ya Yanga leo inatarajia kushuka dimbani kumenyana na klabu ya Kagera Sugar kutoka mkoani Bukoba mchezo unaotarajiwa kupigwa katika dimba la CCM Kirmba jijini mwanza.yangaWananchi wakiwa kwenye morali bado baada ya kutoka kupata ushindii dhidi ya Club Africain ya Tunisia na kutinga hatua ya makundi ya kombe la shirikisho, Leo wanakutana na Kagera Sugar iliyo chini ya kocha mpya Mecky Mexime.

Klabu ya Yanga wanahitaji kupata alama tatu leo ili kuweza kurudi kileleni kwenye msimamo kwani mpaka sasa klabu hiyo imeshushwa hadi nafasi tatu kwenye msimamo wa ligi ya NBC, huku Azam akiwa kileleni kwa alama 23 huku Mnyama akiwa na alama 21 nafasi ya pili na wananchi nafasi ya tatu na alama zao 20.yangaSwali kubwa ni je klabu ya Yanga itaweza kurudi kileleni leo kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC kwani inaenda kukutana na Kagera Sugar ambayo imekua na rekodi ya kuisumbua klabu hiyo pindi wanapokutana haswa wanapokua chini ya kocha Mecky Mexime.

aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.


BONYEZA HAPA


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa