Yanga SC Yapiga Hesabu za Ubingwa TU

UONGOZI wa Yanga SC, umeweka wazi kuwa, akili zao zinafikiria kupata mafanikio kwenye kila mashindano wanayoshiriki kwa kubeba ubingwa.

Yanga ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara ambapo walisepa nalo msimu uliopita kutoka mikononi mwa watani zao wa jadi Simba. Beti na meridianbet wana odds bomba.

 

Yanga

Ally Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Yanga, alisema: “Kwenye mashindano ambayo tunashiriki yote akili zetu ni kuona tunashinda ubingwa, hilo lipo wazi.

“Hakuna namna, ushindani kwenye ligi ni mgumu na wachezaji wanalijua hilo, hivyo ambacho tunakifanya ni kupata matokeo mazuri, hilo litafanyika mpaka mwisho wa msimu.”

Baada ya kucheza mechi 8 za Ligi Kuu Bara, Yanga imefikisha pointi 20, ipo kileleni mwa msimamo kabla ya mechi za jana Jumatano. Odds kubwa za meridianbet

 

Yanga SC Yapiga Hesabu za Ubingwa TU

Timu hiyo ambayo siku ya Jumatano ilicheza dhidi ya Club Africain katika kuwania kutinga makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, msimu huu tayari imebeba Ngao ya Jamii kwa kuifunga Simba mabao 2-1. Tazama odds bomba na kubwa hapa

 


Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

aviator

Acha ujumbe