Yanga Ugenini Dhidi ya Geita Gold Leo

Ligi kuu ya NBC Tanzania kuendelea hii leo kwa michezo miwili majira ya saa 10 huku katika dimba la CCM Kirumba Geita Gold atamkaribisha Yanga.

 

 

 

Yanga ametoka kupoteza mchezo wa ligi akiwa ugenini hivyo hasira zake leo zitakuwa dhidi ya Wachimba Madini ambao mpaka sasa wameshinda mchezo mmoja pekee kwenye mechi zao 4 walizocheza.

Young Africans wao wamecheza michezo minne wakipoteza mmoja pekee huku wakiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo mpaka sasa.

Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, vijana wa Gamondi walishinda mechi zote nyumbani na ugenini.

Nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu pale Meridianbet amepewa bingwa mtetezi akiwa na ODDS ya 1.28 kwa 8.42.

Je vijana wa Gmaondi watafanya nini mbele wa wachimba migodi wa Geita ambao wana hali mbaya wakipoteza michezo miwili mfululizo?

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.