UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa haikuwa rahisi kuvuna pointi tatu muhimu mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kwanza ndani ya msimu wa 2024/25. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.
Ipo wazi kwamba mchezo wao wa msimu wa 2023/24 walipocheza Kaitaba baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kager Sugar 0-0 Yanga hivyo mabingwa hao watetezi waligawana pointi mojamoja na Kagera Sugar.
Katika mchezo wa 2024/25 uliochezwa Uwanja wa Kaitaba baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kagera Sugar 0-2 Yanga huku mabao yakifungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 25 na Clement Mzize dakika ya 88.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Walter Harrison, Meneja wa Yanga ameweka wazi kuwa kuanza kwa ushindi ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuwa mchezo ulikuwa mgumu na kla timu ilikuwa inapambana kupata matokeo.
“Tunamshukuru Mungu kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar. Haikuwa rahisi unaona namna kila timu ilivyokuwa ikionyesha ushindani na mwisho tumepata matokeo mazuri.
“Pointi tatu muhimu kwetu zinatupa nguvu ya kuwa kwenye mwanzo mzuri hivyo tunawapongeza wachezaji kwa kazi kubwa waliyofanya pamoja na mashabiki kujitokeza kwa wingi.”
Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.