YANGA YAKUMBANA NA RUNGU LA FIFA TENA

Kwenye orodha ya timu hizo tano mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga wamo pia katika orodha hiyo ambapo ili wafanye usajili jambo moja linatakiwa kukamilika haraka muda wowote kuanzia sasa ni malipo kisha watapewa ruhusa kufanya usajili.
Makala iliyopita
Dumfries: Bado Nipo Sana InterMakala ijayo
WAZIR JUNIOR KWENYE RADA ZA SIMBA