Yanga Yaondoshwa Mapinduzi CUP

Michuano ya Mapinduzi Cup kule Zanzibar iliendelea hapo jana kwa hatua ya Robo Fainali na mchezo wa saa 2:15 ulikuwa ni ule ambao ulikuwa unawakutanisha kati ya Yanga dhidi ya APR ya Rwanda.

 

Yanga Yaondoshwa Mapinduzi CUP

Mchezo ulimalizika kwa Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 na kuondoshwa moja kwa moja kwenye michuano hiyo huku kipindi cha kwanza kikimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu yani 1-1 Young Africans wakitangulia kufunga bao.

Ndugu mteja kumbuka meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Waliporejea kipindi cha pili mechi ilinoga zaidi ambapo timu zote zilikuwa zikitafuta bao la kuongoza ndipo APR ikipata bao la pili dakika ya 49 kwa mkwaju wa penalti kabla ya Sharaf Eldin Shaiboub aliewahi kuichezea Simba kupachika chuma ya 3.

Hivyo vijana wa Gamondi wameumaliza mwendo kule viziwani Zanzibar huku Afisa habari wa klabu hiyo Ally Shaaban Kamwe akisema kuwa APR walikuwa bora hapo jan andio kiliwafanya wapatae ushindi huo.

Yanga Yaondoshwa Mapinduzi CUP

APR sasa imetinga hatua ya Nusu Fainali ya michuano hii na sasa watamenyana dhidi ya Malndege ambao ndio mabingwa watetezi wa michuano hiyo ambao waliingia hatua hiyo kwa mikwaju ya penati.

Acha ujumbe