Yanga Yapiga Kambi Avic Town Kuwawinda Mamelod

WAKATI Wapinzani wao Simba wakiwa visiwani Zanzibar Kwa ajili ya maandalizi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, Yanga wao wamekita Kambi kwenye viunga vya Avic Town ambapo ni sehemu yao ya kujidai kwa misimu tatu hivi sasa tangu klabu hiyo iwe chini ya Tajiri GSM. Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.

 

Yanga

Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema, wao hawaoni Sababu ya kwenda nje ya Dar es salaam kwa ajili ya mchezo huo, Kwa kuwa mara zote wakiwa Avic Town hupata kile ambacho Huwa wanakitaka.

“Yanga itabaki Avic Town, ile ni sehemu tulivu kuliko sehemu nyingine yoyote nchi hii, acha hao wengine waende walikoenda.

“Tumeshaanza mazoezi na kama kutakuwa na michezo ya kirafiki basi tutawaambia mashabiki zetu,” alisema.

Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe