NAHODHA wa Simba SC Mohammed Hussein amesema kuwa timu hiyo inahitajji kutafuta alama tatu muhimu kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Singida BS, ambao watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Liti.

Mohammed Hussein aliyasema hayo Jumanne 08/11/2022 wakati wa mkutano na waandishi wa habari kabla ya mchezo huo na ndipo akasema hivyo.


“Haijalishi tupo nyumbani au ugenini, jukumu letu ni kuhakikisha tunafanya vizuri na kupata matokeo ya alama tatu.”

Simba ya Juma Mgunda ipo nafasi ya pili, baada ya kucheza michezo 8, imeshinda mitano, sare mbili na imepoteza mchezo mmoja pekee wakiwa wamejikusanyia pointi 17 mpaka sasa.

 

simba

Singida nao wapo nafasi ya 4, baada ya kucheza michezo 9 wameshinda michezo mitano, sare mbili na wamepoteza michezo miwili tu huku wakiwa na pointi 17 sawa na Simba japokuwa wao wamezidi mchezo mmoja.


Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

                                           BONYEZA HAPA

AVIATOR

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa