Ole Gunnar Solskjaer akiwa kama kocha wa Manchester United ameongeza mkataba wa kusalia klabuni hapo mpaka mwaka 2024.

Toka ajiunge na United, Solskjaer hajafanikiwa kupata taji lolote kubwa liwe la UEFA au la EPL. Licha ya hayo yote bado viongozi wa United wameona anastahili kuongezewa muda.

Ed woodward anaamini kuwa Ole anahitaji muda tu, lakini kwa usajili aliofanya mpaka sasa atafanikiwa kuirudisha united katika moto.

Katika mahojiano ya kuongeza mkataba, kocha huyo alieleza kuwa anapata ushirikiano mkubwa kutoka kwa makocha wenzake  na anaamini United itafanya mambo makubwa hivi karibuni.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa