Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer atafanya kila awezalo kumbakiza Edinson Cavani kwa msimu mmoja zaidi katika klabu hiyo.

Bodi na kila mtu katika klabu anataka Edinson abaki, kama walivyomwambia katika mkutano uliopita wiki iliyopita. Solskjaer amezungumza moja kwa moja na mchezaji.

 

solskjaer, Solskjaer : Nitahakikisha Cavani Anasalia United., Meridianbet

Solskjaer alithibitisha : “Cavani anajua ningependa kuwa naye hapa pia katika msimu ujao. Nilimuahidi Old Trafford ni sehemu tofauti ikiwa na mashabiki, najitahidi kadri ya uwezo wangu. Tunatumai tutamuona Man United kwa mwaka mwingine ”.

Edinson Cavani ataamua katika wiki zijazo na familia yake na wakala wake kisha atawasilisha uamuzi wake kwa bodi ya Manchester United.

Klabu nyingi zinasubiri na tayari ziko tayari kumpa kandarasi iwapo ataamua kuondoka kwenye ligi za ulaya. Boca Juniors wamemuandalia kandarasi hadi Juni 2023.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

17 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa