Wednesday, June 15, 2022
Nyumbani Spanish Super Cup

Spanish Super Cup

Barcelona

Barcelona Raisi Achafua Hali ya Hewa

0
Raisi wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amevurugana na wachezaji wake akiwemo kapteni wa klabu hiyo kwa kutamka hadharani kuwa wachezaji wa klabu hiyo wanapaswa kupunguza mishahara yao ili kuweza kuinusuru klabu hiyo. Mapema wiki hii, Sergio Busquets alimjibu raisi...
Marcelo

Marcelo Mchezaji Aliyebeba Makombe Mengi Real Madrid

0
Mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Brazili anayekipiga kwenye klabu ya Real Madrid  Marcelo amefanikiwa kuingi kwenye kumbukumbu za klabu hiyo ya kuwa mchezaji aliyefanikiwa kubebe mataji mengi kuliko mchezaji yeyote ndani ya klabu hiyo. Marcelo mwenye umri wa miaka 33...
Gerard Pique

Gerard Pique Apata Kashfa ya Rushwa

0
Mchezaji wa klabu ya Barcelona Gerard Pique ameshtumiwa kula rushwa ili kufanikisha zoezi la fainali ya Spanish Super Cup kuhamishiwa kutoka nchini Hispania na kwenda kuchezwa kwenye nchi ya Saudi Arabia. Gerard Pique anatuhumiwa kumsaidia dalali kuweza kufanikisha mpango huo...

MOST COMMENTED

Mwansasu: Ajibu Apewe Masharti

2
Beki mahiri aliyewahi kuwika na Yanga, John Mwansasu amemshauri winga wa Simba, Ibrahim Ajibu na kumpa masharti manne ambayo akiyazingatia yatamvusha. Mwamsasu amesema: "Wachezaji wa...

HOT NEWS