Burudani ya mchezo wa soka haitokani na uwezo wa timu viwanjani tu, uwepo wa refa katikati ya uwanja unanogesha mtanange mzima. 2021/22 kuwaaga wawili.

Martin Atkinson na Jonathan Moss kustaafu urefa kunako EPL mwishoni mwa msimu huu (2021/22). Hii ni baada ya wawili hapa kuwepo kwenye nafasi hii kwa miaka mingi na kuchezesha michezo zaidi ya 200 kila mmoja.

2021/22, 2021/22 Bye Bye Kipenga!, Meridianbet
Jonathan Moss

Kwa umri, Atkinson na Moss wanamiaka 51 na, wamekuwa wakipuliza kipenga kwenye EPL kwa muda mrefu. Ni muda sahihi kwao kustaafu kazi hiyo na kuwapisha marefa chipukizi kuendeleza gurudumu.

Wawili hawa wanaungana na Mike Dean ambaye alistaafu mwishoni mwa msimu uliopita na kwa pamoja, wanatengeneza timu ya marefa watatu wenye historia kubwa na yenye kuheshimika zaidi kwenye soka la Uingereza.

2021/22, 2021/22 Bye Bye Kipenga!, Meridianbet
Mike Dean

Kwa pamoja, marefa hawa hawatohusika tena na mikiki ya viwanjani wala kupuliza vipenga, badala yake, kunauwezekano wakapatiwa majukumu mengine ndani ya shirikisho la umoja wa marefa wa ligi hiyo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa