Klabu ya AC Milan wanaripotiwa kushindwa kesi dhidi ya alitekuwa mkurugenzi wa klabu hiyo Zvonimir Boban. Katika kesi hii mahakama ua mjini Milan iliiamuru klabu kulipa €5.3m kama fidia.
Boban alitumbuliwa mwezi March, lakini kulikuwa na mshike mshike kwenye sababu ya kutimuliwa kwake na mkurugenzi huyu wa zamani akaamua kufungua kesi dhidi ya klabu.
Sababu kubwa ya kufukuzwa kwake ilitajwa kuwa ni kumtuhumu mukurugenzi mkuu Ivan Gazidis kuwa alikuwa akifanya mambo nyuma ya mgongo wake, akimaanisha kuwa hakuwa anashirikishwa ipasavyo kwa baadhi ya mambo.
Taarifa za mapema Jumatano nchini Italia zilibainisha kuwa Boban ameshinda kesi hii, na anatarajia kulipwa faini kama ilivyoamuriwa na mahakama.
Msimamo wa klabu ya Milan ni kuwa wao walikamilisha kila kiti kama inavyohitajika na wanatarajia kukata rufaa dhidi ya maamuzi hayo. Kupitia taarifa ya AC MIlan, wameweka wazi nia yao ya kukata rufaa dhidi ya maamuzi hayo.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?
Khadija
Duuh!!cjui itakuwaje
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa
Zahara Omary
Duuh sijui itakuwaje
Sania
Duh hiyo kali
Shakila mrope
Hayo ni maamuzi yao
Rahmal
Aisee yeye mamuzi ni yake mwenyewe
Adelta
Ngoja tusubiri tuone itakuwaje
Neema juma
Sasa itakuaje
Sabrina
Duuh nouma sana
Fatina mfingi
Duuuh ss itakuwaje
Ernest Kimeru
Mambo sio mambo
warda
Hii inaitwa jaribu tena na tena
Dorophina
Ac milan wamlipe tu yaishe
Angelina
Wakubali yaishe tu
Tatu
Kazi ipo
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Sarah
Tunasubiri tuone
Hopemwaikuka
Dah
Lydia Emmanuel Magoti
Duuh
Issa
Milan ni moto
Gabriel
Zvonimir Boban yuko sahihi kabisa