Mamlaka ya ligi nchini Marekani -NFL sasa imeamua kuiondoa sera ya kuwawajibisha wachezaji ambao watatumia wimbo wa taifa kuonesha ishara ya kuunga mkono mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi. Awali waliamua kuishikilia sera hii.
Maandamano katika jitihada za kutetea usawa na haki dhidi ya mauaji yanayofanyika ya watu weusi yameshika kasi kwa takribani wiki mbili baada ya kifo cha George Floyd. Wana michezo wengi wameshiriki kwa namna tofauti katika kuonesha kuguswa kwao.
Hata hivyo, baadhi ya mamlaka za soka ziliamua kuwa mechi zianze kwa wachezaji kupiga goti, kama ishara ya kumuenzi Floyd na pia kuonesha kuwa wanasimamia usawa na haki kwa watu wote.
Baada ya kuoenekana kwa mwanadada Megan Rapinoe, ambaye alitwaa tuzo ya Ballon d’Or kwa upande wa wanawake akiwa amepiga magoti wakati wa wimbo wa taifa adhabu iliwekwa kwa wachezaji watakaodiriki kufanya hivyo tena.
Lakini NFL, wamebainisha kuwa sera ya kuwawajibisha wachezaji wanaotumia wimbo wa taifa kama fursa ya kuonesha uanaharakati wao dhidi ya ubaguzi wa rangi ilikuwa na makosa. Soka la Marekani linatambua kuwa maisha ya watu weusi ni muhimu na hivyo adhabu hiyo haikuwa sawa.
Mara kadhaa raisi Donald Trump amekuwa akinukuliwa akipigia upatu sera ya adhabu hiyo, akisema kuwa kufanya kile ambacho kilifanywa na Megan Rapinoe ni kuivunjia heshima bendera ya taifa na wimbo wa taifa.
Mwanaidi
Kifo cha George Floyd Kimekuwa kama funzo na mpaka leo bado wanamuenzi na wameamua vizuri sana kupiga goti kabla ya mechi kuanza kama ishara ya kumuenzi marehemu George sasa ubaguzi wa watu weusi utapungu kwa kasi sana asanteni sana #meridian kwa hii makala
Sadick
Kwenye mpira wa miguu ilikuwa hairuhusiwi kuonyesha ishara kuunga mkono mambo ya siasa. Hata huku sishangai#meridianbettz
Ester jackson
Maandamano katika jitihada za kutetea usawa na haki dhidi ya mauaji yanayofanyika ya watu weusi yameshika kasi kwa takribani wiki Wana michezo wengi wameshiriki kwa namna tofauti katika kuonesha kuguswa kwao.
Magdalena
Umoja na mshikamano ndo kitu kizuri
isha
Duuh ahsanteni sana NFL kwa kutoa musuala ya ubaguzi
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Mwajuma
Niuwamuzi mzuri utasaidia kudumisha umoja
Elika
Umoja ni nguvu
Mwanahamisi
Asante sana meridian kwa taarifa
Khadija
Ahsante kwa makala ##meridianbettz
Devotha
Ni vizuri walivyoondoa!
christopher
Vizuri, kila mtu apewe uhuru wa ku express feelings xake
Zeiyana
Kifocha cha George Floyd kimewaumiza watu na ndio litakua funzo zidi ya unyanyapaji wa rangi nyeusi..! mungu ampunguzie na adhabu ya kaburi
Gabriel
Megan Rapinoe yuko sahihi kabisa japo n mzungu lakin anamoyo wa uharakati but trump anaonyesha kabisa ubaguz anao haswa kwaajil ya kuchukuia tukio alilolifanya Megan wanasoka wa kike
Povel
Thnks meridian kwa update za michezo na burudani
Samiah
Asanteee meridian kwa update nzuri
Neema hassan
Asante kwa habari
Ernest
BlackLivesMatter!!! Ni wakati sasa umefika watu wote kuonyesha lengo moja
Adelta
Umoja Ni nguvu siku zote
Lydia Emmanuel Magoti
Umoja ni nguvu
Furahav
Hii habari nmeikubari sana.
Genia Sikaluzwe
Wamefanya vizuri kumuondolea
Shafii
Makala nzuri
Tahiya
Umoja ni muhimu
Frank Patrick
Kuna kuguswa na kuguswa zaidi
Amani
Megan Rapinoe yuko sahihi kabisa japo n mzungu lakin anamoyo wa wakuto bagua watu weusi
Salma
Umoja ni nguvu
Ester mmakasa
Umoja na mshikamano kwa watu wote ndo jambo jema.
Hamidu
Asante kwa taarifa
lombo
hii hali ya ubaguz sidhan kama itaisha kwa kwel inabid wazoee tu
felister
justice for george
Rehema
Ila ubaguzi sio mzuri Kama haitaisha inabidi wa pambane tuu
Hope mwaikuka
Safi
Dorophina
Ni jambo zuri kuungana mkono kwa matukio km hayo ya unyanyasaji
Neema juma
Asanteni kwa taarifa nzuri
Caroline
Wawasamehe tyu
Theckla
Ni Jambo jema
David Pere
Hiyo Ndio faer play maana wote no sawa
Isaya massawe
NFL wamefanya jambo zur sana
Mariam mtandama
Habari mjema
Agness
Umoja ni nguvu tuwe na mshikamano
Issa
Bora kwao