AFCON 2021 : Hatua 16 Bora Yamekwa Wazi.

 

Bingwa mara saba wa taji la soka kwa mataifa ya Afrika AFCON, Misri imefuzu katika hatua ya 16 bora, kutafuta ubingwa wa mwaka huu, baada ya kuishinda jirani zao Sudan bao 1-0 katika mechi yake ya mwisho ya kundi D.

 

Timu nyingine katika kundi hili Nigeria, imemaliza katika nafasi ya kwanza katika kundi hilo kwa alama 9 na kufuzu baada ya kuifunga Bissau 2-0.

Mataifa mengine yaliyofuzu katika hatua ya 16 ya AFCON 2021 ni pamoja na wenyeji Cameroon, Burkina Faso, Gabon, Senegal, Cape Verde, Guinea, Morocco na Malawi.

Ratiba ya hatua ya 16 bora ya mashindano ya AFCON 2021 iliyotoka jana jioni ipo kama ifuatavyo, huku michuano hiyo ikitarajiwa kuanza tarehe 23.

Burkina Faso vs Gabon

Nigeria vs Tunisia

Guinea vs Gambia

Cameroon vs Comoros

Senegal vs Cape Verde

Morocco vs Malawi

Ivory Coast vs Egypt

Mali vs Equatorial Guinea


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe