Wachezaji Sergio Aguero, Didier Drogba, Vincent Kompany, Peter Schmeichel, Paul Scholes na Ian Wright wameingia kwenye Premier League Hall of Fame.
Kujumuishwa kwa wachezaji hao sita kunamaanisha kuwa wachezaji 16 sasa wametambuliwa kwa njia hii tangu 2021.
The Hall of Fame inalenga kutambua wachezaji bora waliotamba katika ligi hiyo tangu ilipoanza mwaka wa 1992. Wayne Rooney na Patrick Vieira pia waliongezwa kwenye Hall of Fame mwezi Machi.
Uteuzi wa sextet ya hivi karibuni ulikuja kupitia kura ya umma na kutoka kwenye jopo la Tuzo za Ligi Kuu.
Aguero, Drogba, Kompany, Schmeichel, Scholes na Wright wanaungana na David Beckham, Dennis Bergkamp, Eric Cantona, Steven Gerrard, Roy Keane, na Frank Lampard katika klabu hiyo.
Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.