Aguero Hawezi Kuanza dhidi ya United- Pep.


Mchezaji wa Manchester City amerejea dimbani katikati ya wiki katika mashindano ya UEFA na kufanikiwa kufunga goli dhidi ya Marseille.

Pamoja na hivyo kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola amedhibitisha kwamba hataweza kumuanzisha Kun Aguero moja kwa moja katika dabi ya Manchester, ili kulinda afya yake.

 

“Najua tunamuhitaji sana katika idara yetu ya ushambuliaji kutokana na uwezo wake na uzoefu wake, ila sioni sababu ya kumuharakisha kurejea uwanjani” alisema Guardiola alipoulizwa swali na waandishi wa habari

“Aguero Amekuwa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha hivyo si vyema kumfanya awe katika hatari.” aliongeza.


MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!

Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!

SOMA ZAIDI

25 Komentara

    Asant kwa uchambuzi

    Jibu

    Manchester city mambo yanazidi kunoga UEFA

    Jibu

    Akikaa sawa atarud tu

    Jibu

    Aguero kwa sasa bado hayupo sawa kocha amesema sahihi kabisa

    Jibu

    Tunaheshimu maamuz ya mwalimu

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Pep kikosi chake kinampa wakati mgumu sana ni afadhali Aguero angerudi kutoka kwenye majeraha akiwa fit kabisa.

    Jibu

    Manchester City inabidi wakaze

    Jibu

    Maamuzi ya mwalimu inabidi yaheshimiwe

    Jibu

    Aguero kwa sasa hayupo sawa

    Jibu

    Vizuri nimamuzi kutoka kutoka kwa mwalimu

    Jibu

    Nisaw mwalum ndo anaejua ubora wa mchezaji

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Uchambuzi mzuli

    Jibu

    Aguero ni moto

    Jibu

    uchambuzi mzuri

    Jibu

    duuh

    Jibu

    Aguero ni mshambuliaji asiyechuja kwa uwezo wake wa kuona lango la timu pinzani

    Jibu

    Ilinikosa hii

    Jibu

    Uchambuzi mzuri

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Maamuz ya mwalimu yapo sahihi.

    Jibu

    Aguero mwanajeshi wa nchi kavu

    Jibu

    Ipo vzr

    Jibu

    Uchambuzi umeeleweka

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.