Aït-Nouri Aingia Kwenye Rekodi za Wolves.


Rayan Aït-Nouri (miaka 19 na siku 146) anakuwa mfungaji mdogo zaidi wa Wolves katika PL. Pedro Neto ndiye mchezaji mwingine pekee kufunga kama kijana katika PL kwa klabu hiyo.

 

Aït-Nouri Aingia Kwenye Rekodi za Wolves.

🙌 Aït-Nouri pia ndiye Mfaransa wa 15 Tofauti kufunga bao kwenye Premier League, na akiwa na umri huo pia ni Mfaransa mwenye umri mdogo zaidi kufanya hivyo.

Wolves imepanda katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Premier League – Ndio nafasi yao ya juu zaidi katika msimu wa ligi kuu tangu Oktoba 1979 (ya tatu baada ya mechi 10), walipo maliza nafasi ya sita Baada ya Msimu kuisha na kushinda Kombe la Ligi (League Cup).


TSH.160,000,000 KUSHINDANIWA!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Kamata Mkwanja wako HAPA

23 Komentara

    Nyota ya nouri imeaza kuonekana mapema

    Jibu

    Good news 👍👍

    Jibu

    Yupo vzr

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Nouri yupo vizuri sana

    Jibu

    mda wake sasa nouri wakuonesha maajabu yake

    Jibu

    Yupo vizuri anajua

    Jibu

    Yupo vizuri sana

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Dogo katishaa

    Jibu

    Congrats kwake

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Kinda alieweka rekod nzur sana

    Jibu

    Safi sanaa

    Jibu

    Big up

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Mwanzo mzuri kwa Aït-Nouri

    Jibu

    Nyota njema huonekana ……………

    Jibu

    Hongera sana kwake

    Jibu

    Dogo katishaa

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

Acha ujumbe