Klabu ya Al Nassr imeripotiwa kusitisha mkataba wa Vincent Aboubakar ili kutoa nafasi kwa Cristiano Ronaldo, huku klabu ya Manchester United Ikihusishwa na mchezaji huyo wa Cameroon. Odds ni kubwa ukiwa  na Meridianbet, bashiri mubashara utusue mitonyo.

 

Al Nassr

Timu hiyo ya Saudi Arabia ilikuwa katika hali ngumu baada ya kumsaini mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or kwa kandarasi nono zaidi katika michezo yote.

Sheria za Ligi ya Saudia zinasema kwamba timu zinaweza kusajili wachezaji wanane wa kigeni pekee, na mgawo wa Al Nassr ulikuwa tayari umejaa. Tembelea maduka ya kubashiri ya Meridianbet uoneshe uwezo wako wa kubashiri kila mechi ina odds kubwa.

Hii ilimaanisha kuwa kuna uwezekano wa mchezaji mmoja kupitiwa na panga, na huyo ni mshambuliaji wa Cameroon Aboubakar.

 

Al Nassr

Kulingana na RMC Sport, ni kwamba Vicent Aboubakar alikubali wote kumaliza mkataba wake na alilipwa kifedha. Hii inamaanisha kuwa sasa ni wakala huru na atakuwa na chaguo lake la kuhamia kokote.

Hata hivyo wiki hii amekuwa akihusishwa zaidi na kuhitajika Manchester United ambapo Kocha wa Mashetani wekundu Erik Ten Hag atahitaji kuwa na chaguo la kusaka mshambuliaji na Aboubakar inaonekana kuwavutia zaidi.

Lakini pia Ten Hag anamvizia mchezaji wa Burnley Wout Weghorst, ambaye anataka kuhamia Old Trafford. Pata odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

Ronaldo sasa anaweza kusajiliwa na Al Nassr, lakini hakuna uwezekano wa kucheza mechi yake ya kwanza hadi baadaye mwezi huu.

Alilazimika kutumikia adhabu ya kutocheza mechi mbili ambayo ilitolewa na FA kwa kuvunja simu ya shabiki wa Everton.

Mechi yake ya kwanza kati ya hizo ilitolewa Ijumaa katika ushindi wao wa 2-0 dhidi ya Al-Ta’ee, na mechi yao inayofuata ni Januari 14 dhidi ya Al-Shabab. Bashiri na Meridianbet upate odds kubwa kila mechi.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa