Alessio Romagnoli Fiti Kurejea Dimbani

Kapteni wa AC Milan, Alessio Romagnoli ameripotiwa kuwa tayari amesharejea kwenye afya nzuri baada ya kuuguza jeraha lake.

Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, AC Milan wanatarajia kuwa pamoja na nahodha wao Jumamosi baada ya nyota huyo kurejea kuwa fiti dimbani.

Alessio Romagnoli aliingia kucheza na timu ya vijana akitokea kuuguza jeraha lake na hakuwa na shida.

Matteo Gabia ndiye alichukua majukumu ya Romagnoli, lakini staa huyu ambaye anaichezea timu ya vijana ya Italia, alipata maambukizi ya corona hivyo kuna wasi wasi wa kuikosa mechi.

Kurejea kwa nahodha huyu ni taarifa njema kwa meneja wa AC Milan, ambaye ana kibarua dhidi ya Inter Milan Jumamosi.


 

Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

24 Komentara

    Ni habar njema kwa mashabik wa MILAN urejeo wa captain ROMAGNOLi

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    AC Milan imedhamiria kurejea kwenye utawala Serie A iliopoteza miaka ya karibuni

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Game ya ukweli

    Jibu

    Habari njema kwa kocha na mashabiki wa Ac Milan

    Jibu

    Habari njema kwa Ac Milan

    Jibu

    Hii imekaa powa sana

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Kurejea kwa nahodha huyu ni taarifa njema kwa meneja wa AC Milan

    Jibu

    Safi sana ataleta hamsha hamsha kwa mashabiki

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Afadhali

    Jibu

    Habar njema sana hizo

    Jibu

    bora arejee tu maana tunataka kuona juhudi za ac milan

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Afadhali karudi kwenye hali yake njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Habr njme

    Jibu

    Habari njema kwa Ac Milan

    Jibu

    Nc

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.