Alexander Isak: Nataka Kuendelea Kubaki Newcastle

Mshambuliaji wa klabu ya Newcastle United raia wa kimataifa wa Sweeden Alexander Isak amezungumza kua mustakabali wake upo ndani ya klabu hiyo na hana mpango wa kutimka ndani ya timu hiyo.

Mshambuliaji huyo ambaye amekua akifanya vizuri ndani ya klabu ya Newcastle tangu ajiunge nao msimu uliomalzika, Huku akihusishwa kuondoka klabuni hapo kutokana na ubora ambao amekua akiuonesha ndani ya timu hiyo.alexander IsakVilabu kadhaa vikubwa vimeanza kuhusishwa na Alexander Isak kutokana na ubora ambao amekua akiuonesha ndani ya Newcastle,Lakini kwa upande wake anasema yupo sana ndani ya klabu hiyo na hana mpango wa kutimka ndani ya timu hiyo.

“Nataka kua hapa Newcastle siku za mbeleni, Nilikuja hapa kwa mradi, Ninapenda kucheza hapa nahisi kama niko nyumbani, Nataka kumaliza msimu huu vizuri napenda kuwepo mahali hapa”alexander IsakMshambuliaji Alexander Isak ameonesha wazi kua hana mpango wa kuondoka ndani ya viunga vya St. James Park, Kwani anafurahia kuwepo ndani ya timu hiyo na yupo ndani ya mpango wa timu hiyo wa muda mrefu hivo kupitia mradi wa timu hiyo ni wazi mshambuliaji huyo anahitaji kukamilisha ambacho kimempeleka kwenye timu hiyo.

Acha ujumbe