Alphonso Davies ana Kasi Kuzidi Mbappe - Coman.


Tukiwa tunaelekea katika Fainali ya Ligi ya mabingwa Ulaya kati ya PSG dhidi ya Bayern Munich, ameibuka Kingsley Coman wa Bayern na kudai kuwa Alphonso Davies ana kasi/haraka zaidi kumshinda Kylian Mbappe.

Alphonse Davis,19 amekuwa na msimu mzuri akiwa pale Bayer na kufanikisha kuipeleka timu katika fainali ya Uefa.

Kylian Mbappe amekuwa na msimu mzuri akinyakua kiatu cha dhahabu na kuipeleka timu yake katika fainali za Uefa, pamoja na kupata majeraha katika mechi za mtoano.

 

Alphonso Davies ana Kasi Kuzidi Mbappe - Coman.

Mbappe ni miongoni mwa wachezaji wenye kasi zaidi uwanjani lakini pia Alphonso Davies ameonesha mwendo wake tangu alipojiunga na Bayern Munich.

Kingsley Coman amecheza na wachezaji wote wawili na katika kuwalinganisha alidai kuwa
“Mbappe ana kasi sana, msininukuu vibaya, lakini Alphonso Davies ana kasi zaidi. Ana kasi kushinda wote”. Msilichukulie hili jambo kwa hisia kali wana PSG.

 

Alphonso Davies ana Kasi Kuzidi Mbappe - Coman.

“Muda wangu nliokuwepo PSG ni jambo la kitambo. Nimekulia pale na nimecheza pale – lakini hiyo ni zamani sana. Akili yangu na Moyo wangu upo na Bayern kwa 100℅ . Alisema Coman.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

43 Komentara

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    ayo ni mawazo yako Coman

    Jibu

    Davies ni moto sana kuliko mbape anakimbia kwa mahesabu sana hivyo psg wajiandae kumchunga huyu mtu

    Jibu

    Bayern Munch wana kikosi kikubwa na kizuri..!ila subir tuangalie matokea yake hapo kesho

    Jibu

    Inawezekanaje sasa

    Jibu

    Haiwezekani

    Jibu

    Asije akawa mchezaji wa msimu au wa mechi moja moja tuu , acha tuanze kufuatilia profile yake

    Jibu

    Asante kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Davies nae yupo vizuri anakimbizana na mbappe lkn bado ajafikia speed ya mbappe

    Jibu

    Hayo ni maono yake ila wote wapo vizuri sana na umri wao mdogo kwa hyo watacheza muda mrefu na wana mambo mengi bado ya kuionyesha dunia juu ya vipaji vyao

    Jibu

    davies kweli naye anakuja kwa kasi kubwa sana ila kumfikia mbappe bado ajipange vya kutosha

    Jibu

    Davies Yuko vizuri na bado umri wake unadai@meridianbettz

    Jibu

    Mmmmh!!

    Jibu

    mawazo mazur

    Jibu

    Akuna Kama mbappe atabaki kuwa ni yeye

    Jibu

    Davies yupo vizur

    Jibu

    Lakini Mbappe amekua na msimu mzuri sana

    Jibu

    Sawa mbappe kuna neymar

    Jibu

    Inawezkn

    Jibu

    Davies yuko vizuri sana

    Jibu

    Asante kwa makala#meridianbettz

    Jibu

    Beki na Mshambuliaji wapi na wapi! Tusubiri kuona matokeo kesho usiku#meridianbettz

    Jibu

    It’s ur opinions so let it be

    Jibu

    Ngoj tuone watakavyo kutana nan atakuwah usain bolt

    Jibu

    Good news 👍

    Jibu

    gud news mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Ngoja tuone siku ya mechi nani anakasi kumzidi mwenzake

    Jibu

    Hapo wote dam inachemka vijana nahisi mech itakuwa ya ushindan mkubwa sana maana Alphonso Davies ni mchezaji mwenye kasi na mtengenezaj pia mashabuliaji mzur wa pasi huku mbappe nae pia ni mchezaji mkal sana 👍

    Jibu

    Mbappe sio mtu wa mchezo mhezo!!!

    Jibu

    Mi nadhani mechi iko mezani tutashuhudia haya yote kiwanjani nani yuko juu.

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Yupo vzr

    Jibu

    Asije akawa mchezaji wa msimu au wa mechi moja moja tuu , acha tuanze kufuatilia profile yake

    Jibu

    Hayo ni mawazo take lakini sisi mashabiki tunaona wako sawa in ufundi tu wa kuzidiana maarifa uwanjani ambayo tunasubiri kuyaona.

    Jibu

    Maoni:mhhhh ngoja tuone

    Jibu

    Ngoja tujionee wenyewe mashabiki

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ngoja tuona nani zaidi.

    Jibu

    Mbappe yuko vizuri namuamini sana

    Jibu

    Mbappe ni miongoni mwa wachezaji wenye kasi zaidi uwanjani lakini pia Alphonso Davies ameonesha mwendo wake tangu alipojiunga na Bayern Munich.

    Jibu

    Nimecheki mechi yao kweli Coman anatisha#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe