Alves: Madrid Wanabahati Tumejipata Mwishoni

Mchezaji wa Barcelona Dani Alves amesema kwamba klabu ya Real Madrid wanabahati Barcelona wamepata fomu yao msimu huu kwa kuchelewa akidai vipaji vipya vya Barca vinauwezo wa kutosha kushindania taji.

Alves: Madrid Wanabahati Tumejipata Mwishoni

Baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Sociedad siku ya Alhamisi Barcelona ilimaliza uteja wa kupoteza michezo miwili mfululizo ambapo walipoteza kwa Cadiz na Franfurt katika michuano ya Europa League.

Alves alisema: “Real Madrid wanabahati tumechelewa kuamka kwa sasa hatuwezi kushindania taji,” aliiambia Barca TV “Sasa tunaweza kufikiria mambo mengine.

Madrid wanaongoza LaLiga kwa pointi 78 baada ya michezo 33wakifuatiwa na Barcelona ambao wamejikusanyia alama 63 kwenye michezo 32.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe