Ampadu Anarejea Dimbani

Mchezaji wa kimataifa wa Wales, Ethan Ampadu anakaribia kurejea kwenye utimamu wa mwili baada ya kukosa mechi za ufunguzi za Bundesliga akiwa na RB Leipzig.

Ampadu, 19, yupo kwa mkopo Ujerumani akitokea Premier League katika klabu ya Chelsea.

Hajacheza mechi yoyote tangu Ligi irejee bila mashabiki kutokana na janga la Corona kwasababu ya matatizo ya mgongo.

Lakini Leipzig wanasema kwasasa ameanza mazoezi mepesi na ametengenezewa programu yake binafsi.

Leipzig wapo nafasi ya tatu kwenye msimamo na Jumamosi watacheza dhidi ya Paderborn.

Ampadu amepambana kpata muda wakucheza tangu akiwa Stamford Bridge kiangazi kilichopita, lakini amewavutia Leipzig kwa kiwango alichokionyesha kwenye ushindi wa Champions League dhidi ya Tottenham kabla Corona haijaharibu mipango.

Mechi yake ya mwisho ilikuwa Februari waliposhinda 1-0 ndipo akapate majeraha.

48 Komentara

    Safi Ethan pambana bdo umri unaruhusu kufanya makubwa

    Jibu

    Ampadu namkubali Sana anajua mpira

    Jibu

    Safi sana yuko vizuri sana jamaa

    Jibu

    Yupo vizuri sana

    Jibu

    Ampadu amepambana kpata muda wakucheza tangu akiwa Stamford Bridge kiangazi kilichopita, lakini amewavutia Leipzig kwa kiwango alichokionyesha kwenye ushindi wa Champions League#meridianbettz

    Jibu

    Ni vizuri sana watu walimmiss sana

    Jibu

    Ampadu kiwango alichokionyesha kwenye ushindi wa Champions League dhidi ya Tottenham anajitaidi sana

    Jibu

    safi

    Jibu

    Ampadu mgongo huwa unamsumbua sana #Meridianbettz

    Jibu

    Ampadu namkubali sana

    Jibu

    Ambadu namkubali Sana

    Jibu

    Ampadu yuko vizuri..na tatizo lake la mgongo litakwisha na atakuwa sawa kabisa

    Jibu

    Karibu sana dimbani ili upashe mwili

    Jibu

    Ampadu hongera na karibu tena mchezoni

    Jibu

    Yuko vzr sana kwa sasa akazane zaidi na mazoezii

    Jibu

    Ampadu ongera yake #meridianbettz

    Jibu

    Ni vizuri sana watu wali mmis sana

    Jibu

    Ni habari nzuri kwa timu yake maana naendelea kuisaidia timu

    Jibu

    Karibu kijana wetu tulikusubiri mno.

    Jibu

    Ampadu ni mchezaj mzuri

    Jibu

    Wakati fulani Chelsea ilikuwa na wachezaji zaidi ya 30 wanacheza kwa mkopo Vilabu mbalimbali duniani, sikuwa najua Ampadu ni mmoja wao. Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    inabidi apate muda wa kupumzika zaidi

    Jibu

    Go Ethan

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa RB reipzig

    Jibu

    Atakua future Hugo baadae pale Stamford bridge, wamuache akuekue kidogo

    Jibu

    Ni habari jema kwa mashabiki

    Jibu

    Yuko vizuri namkubali sana

    Jibu

    Namkubali sn anajiewa kishezi

    Jibu

    Kila la heri Ampadu

    Jibu

    Ni taarifa nzuri kwa mashabiki wake na timu nzima

    Jibu

    Ampadu ni mchezaj mzur sana

    Jibu

    Ni habar njema

    Jibu

    Ampadu dogo anajua sana

    Jibu

    Kila la heri kwake,maana kapumzika mda sasa

    Jibu

    kashapona, kilichobaki ni mazoezi ya nguvu ili aimarike akishaanza kuingia kiwanjani

    Jibu

    akaze sas

    Jibu

    Mungu amsaidie apone kabisa arudi uwanjani

    Jibu

    Ampadu mri wakutuonesha kipaji chako unapata majeraha..!pole sana utapona utarudi kwenye ali yako ya kawaida na ndoto zako zitatimia

    Jibu

    Ampadu tulikumis

    Jibu

    Arudia tu aendeleze soka

    Jibu

    Hatar Sana kitawaka vibaya mno

    Jibu

    Kalibu Sana dimbani upashe viungo mwili uchangamke kazi ifate Ampadu

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Inabidi apate mda wa kupumzika vizuri asije akautonesha mgongo

    Jibu

    Gud newz

    Jibu

    Yupo vizur

    Jibu

    Ipo gud hyo

    Jibu

    Habari nzur

    Jibu

Acha ujumbe