Andrea Agnelli Ameukosa Ushindi wa Supercoppa!

Rais wa Juventus Andrea Agnelli hakuwepo kwenye ushindi wa Supercoppa, lakini anajivunia kazi na jitihada za timu yake katika kuusaka kushindi huo. Katika kusherekea ushindi huo amesema “Tumekuwa washindi kwa miaka 10 mfululizo.”

Bianconeri (Juventus) wamewachapa Napoli 2-0 kwenye uwanja usio wa upande wowote wa dimbani Mapei huko Reggio Emilia, na mchango wa Cristiano Ronaldo na Alvaro Morata ndiyo uliowatoa kidedea Juve.

Hili ni taji la kwanza kuwekwa kibindoni na Juve kwa msimu wa 2020-21. Wanatarajia jitihada zaidi zinaweza kuwaweka karibu na mataji mengine.

Andrea Agnelli Ameukosa Ushindi wa Supercoppa!

Agnelli ambaye aliikosa mechi hii, alitumia ukurasa wake wa twitter kuelezea hisia zake baada ya ushindi Jumatano, akisisitiza kuwa wamekuwa vinara kwa miaka 10 mfululizo.

“Tumeshinda kombe kwa miaka 10 mfululizo, Sio mbaya, lakini ni kitu bora bado iknakuja njiani!”

Raisi huyu alishindwa kuhudhuria kwenye mechi kwa sababu ya shu8ghuli zingine za kikazi.

Andrea Agnelli Ameukosa Ushindi wa Supercoppa!


USHINDI UPI NI MKUBWA KWAKO, £2,000,000? 🤑

Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.

INGIA MCHEZONI

19 Komentara

    Pole yake

    Jibu

    Pole

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Kwa Sasa juventus wako vizuri

    Jibu

    Juventus imekuwa na matokeo mazuri inapocheza na vigogo

    Jibu

    Good

    Jibu

    safi

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Good

    Jibu

    Iyo ndo changamoto ya mpira

    Jibu

    Kazi kazi

    Jibu

    Good

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Bahati haikuwa yao

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Ndo bas tena

    Jibu

    Pongezi kwao juventus

    Jibu

    Juve moto

    Jibu

    Hata mie nilifurahi sana ushindi wa juve

    Jibu

Acha ujumbe