Bosi mpya wa Juventus, Andrea Pirlo ameanza kazi kwa kupitisha panga katika kikosi chake cha mabingwa wa Serie A baada ya kusitisha mikataba ya Gonzalo Higuain na Sami Khedira.
Pirlo alipata kibarua hicho mara baada ya Mauricio Sarri kutupiwa virago kutokana na kupata matokeo mabaya ya Ligi ya mabingwa Ulaya kwa kutolewa na Olympic Lyon hivyo kuzima ndoto za kutwaa kombe hilo tangu mwaka 1996.

Higuain (32) na Khedira (33) wamesitishiwa mikataba yao ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya kufikia tamati.
Wachezaji hao watalipwa pesa zao za kuvunja mikataba yao ili waweze kuondoka klabuni hapo.
Mawakala wa wachezaji hao wamethibitisha maongezi hayo na Juventus kuhusu kusitisha mikataba ya wateja wao na walikuwa wanashughulikia jambo hilo.

Ikumbukwe Higuan amejiunga na Juventus kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuondoka Chelsea, na Khedira alijiunga na timu hiyo akitokea klabu ya Bayern Munich.
Higuain amefunga mabao 8 tu katika michezo 32 ya Serie A msimu huu huku akiwa anatokea kwa wachezaji wa akiba.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Issa
Higuain na khedira ni kama umri umesonga kwao hivyo pirlo yuko sawa kuwatema
Ernest
Andrea Pirlo hataki masihara kabisa kwenye kujenga kikosi chake
Sadick
Ameanza makeke, bila shaka anaona hawawezi kuendana na mfumo wake na pengine kiwango kimeshuka#
Khadija
Andrea pirlo apendag masihara#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Andrea Pirlo amekuja na Moto ataki masiala kwenye utendaji wake wakaz anataka kukisuka kikosi kiwe kwenye engo yake
Rehema
Bonge la makala
Sylvester
Khedira bado angemsaidia hatakiwi kukurupuka kuwafukuza wachezaji wakongwe
magdalena
pirlo anapambana ili aone kama ataweza kusahihisha makosa ili yasijirudie tena katika kikosi chake
Sauda
Hawahitaji kwa sababu viwango vyao vimeshuka?
Dorophina
Amekuja kwa kasi pirlo hataki masihara kabisa
felister
Andrea huo ni uamuzi wake ameshaamua ivyo
Tatu
Pirlo yupo sahihi coach yoyote anapopewa timu lazima apange apangue
Nasra
Asante kwa makala
Mwanahamisi
Asante kwa makala
Mwajumah
Bonge la makala
Zeiyana
Hapa naona pirlo anajaribu kuwapunguza wakongwe ambao alishawahi labda kucheza nao kipindi cha career yake.
marry
asante kwa taarif
Saupha mohamed
Asanten kwa makala
Caroline
Naona amekuja kwa Kasi mpya
Janeflora malisa
Habar njm
Amiri Kayera
Kila Koch na mapendekez yake
aisha
Andrea kachafukwa sana
Hope mwaikuka
Huyu kocha mbona yuko na mkwala hvyo
Povel
Khedira vs higuain Kama vle age imewatupa mkono mkandarsi mpya anatak kutengeneza kikos chake vle
Gabriel
Andrea Pirlo ni kocha mzur sana 👍 anatambua na mwenye uwenzo mkubwa na pia alikuwa mchezaji mzur na mzoefu hivyo anauelewa na mpango wake
Devotha
Kocha ameanza kwa kasi ya 4g
Shafii
Naona anataka kukimbiza ambao hawataendana na kasi yake.
Rose kapinga
Kocha kama kocha anaongea
Salma ngende
Ni kocha mzuri
David Pere
Ikumbukwe Higuan amejiunga na Juventus kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuondoka Chelsea, na Khedira alijiunga na timu hiyo akitokea klabu ya Bayern Munich.
Edgar
Mbn Mambo yameanza mapema
Ester jackson
Habari njema
farida ahmadi
Maamuzi yake binafsi mwenyewe
Samiah
Nihabari njemaa
Furahav
Uko sahii mana hawana viwango tena.
Sabrina
Andrea Pirlo ameanza Kazi hataki masihara
Latifa juma mohamed
Andrea pirlo , c mtu wa mchezo amewatema kina khedira Yuko sahihi ameon hawana viwango.
warda
Acha achague watu anawataka#Meridianbettz
Theckla
Duuu hatari