Pengine lilikua ni suala la muda tu kabla ya kuijua hatma ya Andy Carroll baada ya kuwepo kwenye orodha ya wachezaji waliotemwa na Newcastle United.

Mwezi Juni 2021, Newcastle United ilitoa orodha ya wachezaji itakayowaacha kuanzia msimu ujao. Kwa Carroll, kulikua na taarifa kuwa anaweza kusainishwa mkataba wa mwaka mmoja zaidi.

Mambo yamekua tofauti baada ya mchezo dhidi ya New York. Newcastle United walipoteza mchezo wa kujiandaa na msimu ujao kwa goli 1-0 na kocha Stever Bruce, alitumia mchezo huo kuthibitisha kuachiwa kwa Andy Carroll.

Bruce, “nilifanya mazungumzo na Andy. Ninadhani anataka kuondoka ili akapate nafasi ya kucheza. Ninamtakia kila la kheri kwenye muendelezo wa maisha yake ya soka.”


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa